• April 25, 2024
  1. Home
  2. Blogs for June 4th, 2020

Day: June 4, 2020

Latest News
Kizungumkuti cha korona

Kizungumkuti cha korona

Wakenya sasa wameongeza ununuzi wa ndimu na kitunguu swaumu kwenye bajeti ya kwao ya kila siku.Wengine wanakimbilia watumishi makanisani nawengine madktari wa dawa za kienyeji yote hayakutafuta kinga dhidi ya korona. Watafanikiwa kwa hili? Sikiliza

Kazi kwa vijana

Mradi wa kazi kwa vijana ulianzishwa hapa mukuru kama mojawapo ya ajenda zake rais uhuru kenya. Lakini je waliokusudiwa kupata hii kazi wataipata? Na je waliopatiwa jukumu la kuwasajili na kuwapa kazi vijana hawa watafuatilia

In Africa Stations Spread Lifesaving Information

In the Mukuru slum in Nairobi, Kenya, Ruben FM (99.9 MHz), a community radio station, is sensitizing the community on the need to stay at home, and stay safe, and that COVID-19 can affect them