• October 5, 2024

Illegal cooking gas in mukuru

Ni sauti za wakazi wakijaribu kuokoa mali yao kutokana na moto uliosababishwa na mlipuko wa gesi hapa mukuru , Mara kwa mara kumeshuhudiwa visa za kulipuka kwa mtungi wa gesi ambayo inatumika kupikia katika makaazi haya huku takwimu  kutokana na Kituo cha Operesheni za Dharura cha KRCS zikionyesha asilimia 44.8% ya visa vya moto vilikuwa katika maeneo ya makazi duni,  huku asilimia 42% ikiwa hapa Mukuru.

 

Kutokana na ongezeko la milipuko hii ya gesi kumeshuhudiwa majeruhi na hata vifo huku kisa cha karibuni kikiwa ni kile cha  eneo la simbacool,Eneo La Mukuru Kwa Reuben Na Wape Wape Mukuru Wa Njenga ambapo nyumba kadhaa ziliweza kuteketea na wakazi wengi kupoteza mali zao. Wakazi wa eneo hili wanazidi kutilia lawama vituo vya kujaza gesi na vituo vya kuuza gesi zisizohalali kinyume cha sheria hapa mukuru.

Insert…..

niliweza kuvalia njuga swali hili iliniweze kubaini iwapo madai haya ni ya kweli au la na iwapo gesi hizi zinazouzwa hapa mtaani ni salama……..

story by ledira botere, Ruben FM

Read Previous

3 Children from Same Family Die After Mukuru Fire Wipes Out more than 20 Houses

Read Next

RUBEN FM FIXTURES : FEMALE TEAMS

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Most Popular