• November 11, 2025

mbwa wanachinjwa na kuuziwa wakaaazi mukuru kwa Reuben

Wenyeji wa Kariobangi eneo la mukuru kwa Reuben waliamkia kisa cha kutamausha pale walipopata mizoga ya mbwa. Madai ni kwamba mbwa hao huenda kuwa wanachinjwa na kuuziwa wakaaazi. Wakaazi waliongeza na kusema kuwa kiini cha kitendo kile ni ukosefu wa kazi na hivyo kupelekea mbwa kuuwawa na kuuzwa wakazi bila ufahamu wao. Nilizungumza na John, Mwakilishi waa nyumba kumi ambaye alisema kuwa uchunguzi umeanzishwa na washukiwa wataweza kukamatwa…

Read Previous

CHAPTER FOUR

Read Next

REPRODUCTIVE HEALTH POLICY

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Most Popular