FALSE: Photo does not show the drought situation in Embolioi, Kajiado County, in October 2022
Katika mtaa wa Mukuru kwa Ruben, eneo la Gatoto, Wakaazi wameungana kwa pamoja katika zoezi kabambe la usafi wa mazingira. Ushirikiano huu wa kijamii unaoendeshwa pamoja na shirika la Akiba Mashinani Trust unalenga kuboresha hali
Jamii ya Lunga Lunga imeeleza wasiwasi kuhusu kiwango cha utayari wake kukabiliana na athari za mabadiliko ya tabianchi, huku viongozi wa eneo hilo wakitaka hatua za haraka kuchukuliwa ili kulinda maisha na mali za wakazi.
Furaha na afueni vimetawala katika eneo la Mukuru baada ya mahakama kutoa uamuzi unaoitambua Shule ya Msingi ya Gatoto kama taasisi ya umma, hatua iliyorejesha matumaini miongoni mwa wazazi, wanafunzi na viongozi wa jamii waliokuwa
Katika Shule ya Msingi ya Gatoto, Mukuru kwa Ruben, ambako wakaazi na wanajamii wamejitokeza kwa wingi tangu asubuhi ya leo kuandamana. Maandamano hayo yamechochewa na uamuzi wa hivi karibuni wa mahakama wa kuagiza umiliki wa
[audio mp3="https://rubenfm.or.ke/wp-content/uploads/2026/08/tamthilia-majiumememazingira.mp3"][/audio]
Ruben FM today held a special farewell session for 7 interns who have successfully completed their internship programme at the station. The session provided an opportunity for the Ruben FM team and the interns to
[audio mp3="https://rubenfm.or.ke/wp-content/uploads/2026/04/MAJI-HAYAFICHIKI-TAMTHILIA.mp3"][/audio]
[audio mp3="https://rubenfm.or.ke/wp-content/uploads/2026/03/tamthilia-uongozi.mp3"][/audio]
Wakaazi wa eneo la Rorie B hapa mtaani walitatizika Jumamosi usiku, wengi wakilazimika kukesha wakiondoa maji kwenye nyumba zao. Kulingana na walioathiriwa, licha ya kwamba mvua hazikunyesha maeneo haya, mafuriko yalishuhudiwa kuanzia saa sita usiku,
Residents of Mukuru Kwa Njenga in Nairobi had an opportunity to engage directly with Ireland’s Minister of State for Nature, Heritage and Biodiversity, Christopher O’Sullivan, during a youth dialogue focused on civic participation, inclusion, and