• March 19, 2024

Fact checks 2020

FACTS CHECKS DONE YEAR 2020

UHABA WA MAJI

Hata kabla ya janga la korona, maji yamekuwa adimu kwa wakaazi wa mukuru, basi je msimu huu tunapohitajika kuosha mikono mara kwa mara tutaafikia hili? Tatizo lilianza wapi na je suluhu la kudumu ni lipi? Mwanahabari wetu Caroline Wambere alilivalia njuga swala hili na kutuandalia Makala yafuatayo kwa hisani ya Code for Africa kwa ushirikano na Ruben fm.