Fact checks 2020

ZOGO LA CHANG’AA ENEO LA BHACHU MUKURU KWA RUBEN

Upikaji wa chang’aa Maeneo ya Bhachu wadi ya Kwa Ruben,Embakasi Kusini umesalia kuwa Zogo Miongoni mwa wakaazi.Mwakilishi wadi eneo hilo Evans Otiso amekiri kuwa kazi ya chang’aa ni kazi yoyote isiyo na leseni hivi basi hana haki ya kukataza wahusika kupika chang’aa .Hata hivyo Serikali inashikilia kuwa Chang’aa hairuhusiwi kamwe…..#ZOGO LA CHANG’AA#. Makala haya yakiletwa kwako kwa hisani ya code for Africa kwa ushirikiano na ruben fm.