• September 8, 2026
  1. Home
  2. General

Category: General

General
Daraja la Kuunganisha Kwa Reuben na Kwa Njenga Lapokelewa kwa Furaha

Daraja la Kuunganisha Kwa Reuben na Kwa Njenga Lapokelewa kwa Furaha

Ujenzi wa daraja la kuwavusha wananchi kati ya maeneo ya Mukuru Kwa Reuben na Kwa Njenga umepokelewa kwa furaha na afueni kubwa na wakazi wa maeneo hayo. Kwa muda mrefu, wakazi waliokuwa wakitumia njia hiyo,

General
Grief in Mukuru as Body of Two-Year-Old Boy Found in Ngong River

Grief in Mukuru as Body of Two-Year-Old Boy Found in Ngong River

Grief and shock have engulfed residents of Kingstone area in Mukuru kwa Ruben after the body of a two-year-old boy was found floating in the Ngong River. The discovery has left the local community deeply

General
Wakazi wa Kwa Rueben Waungana katika Zoezi la Usafi wa Mazingira

Wakazi wa Kwa Rueben Waungana katika Zoezi la Usafi wa Mazingira

Katika mtaa wa Mukuru kwa Ruben, eneo la Gatoto, Wakaazi wameungana kwa pamoja katika zoezi kabambe la usafi wa mazingira. Ushirikiano huu wa kijamii unaoendeshwa pamoja na shirika la Akiba Mashinani Trust unalenga kuboresha hali

General
Mzozo wa Umiliki wa Shule ya Gatoto Wapata Mwelekeo Mpya Baada ya Mahakama Kuitambua Kama Taasisi ya Umma

Mzozo wa Umiliki wa Shule ya Gatoto Wapata Mwelekeo Mpya Baada ya Mahakama Kuitambua Kama Taasisi ya Umma

Furaha na afueni vimetawala katika eneo la Mukuru baada ya mahakama kutoa uamuzi unaoitambua Shule ya Msingi ya Gatoto kama taasisi ya umma, hatua iliyorejesha matumaini miongoni mwa wazazi, wanafunzi na viongozi wa jamii waliokuwa

General
Maandamano, Gatoto Primary School

Maandamano, Gatoto Primary School

Katika Shule ya Msingi ya Gatoto, Mukuru kwa Ruben, ambako wakaazi na wanajamii wamejitokeza kwa wingi tangu asubuhi ya leo kuandamana. Maandamano hayo yamechochewa na uamuzi wa hivi karibuni wa mahakama wa kuagiza umiliki wa

General
TAMTHILIA YA MAJI,UMEME NA MAZINGIRA

TAMTHILIA YA MAJI,UMEME NA MAZINGIRA

[audio mp3="https://rubenfm.or.ke/wp-content/uploads/2026/08/tamthilia-majiumememazingira.mp3"][/audio]

General
MAJI HAYAFICHIKI TAMTHILIA

MAJI HAYAFICHIKI TAMTHILIA

[audio mp3="https://rubenfm.or.ke/wp-content/uploads/2026/04/MAJI-HAYAFICHIKI-TAMTHILIA.mp3"][/audio]

General
Tamthilia Ya Uongozi

Tamthilia Ya Uongozi

[audio mp3="https://rubenfm.or.ke/wp-content/uploads/2026/03/tamthilia-uongozi.mp3"][/audio]

General
MAFURIKO RURII

MAFURIKO RURII

Wakaazi wa eneo la Rorie B hapa mtaani walitatizika Jumamosi usiku, wengi wakilazimika kukesha wakiondoa maji kwenye nyumba zao. Kulingana na walioathiriwa, licha ya kwamba mvua hazikunyesha maeneo haya, mafuriko yalishuhudiwa kuanzia saa sita usiku,

General
Ireland Minister Engages Mukuru Youth on Civic Education, Inclusion and Community Challenges

Ireland Minister Engages Mukuru Youth on Civic Education, Inclusion and Community Challenges

Residents of Mukuru Kwa Njenga in Nairobi had an opportunity to engage directly with Ireland’s Minister of State for Nature, Heritage and Biodiversity, Christopher O’Sullivan, during a youth dialogue focused on civic participation, inclusion, and