Fact checks 2020

NDIO KUNA MALARIA NAIROBI

 Mtu akiwa na dalili za malaria anashauriwa asijitibu kwanza ila aelekee hospitalini ili akaguliwe kwanza kwani kiwango cha maambukizi ya malaria hapa kaunti ya nairobi kiko chini ikilinganishwa na kaunti zingine. Makala haya umeandaliwa naye Caroline Wambere kwa hisani ya Code for Africa kwa ushirikiano na Ruben Fm.