Fact checks 2020

Vyakula Na Libido

Mengi yamesemwa sana kuhusu uwiano kati ya vyakula na uwezo wa kuongeza nguvu na hamu ya kutaka kushiriki ngono.
ukweli ni kwamba, kuna baadhi ya lishe ambazo husaidia katika uwezo wa maswala ya ngono.

makala haya yakiletwa kwako kwa hisani ya Code For  Africa kwa ushirikiano na Ruben fm, yakiandaliwa na Shadrack Andenga