Fact checks 2020

BARAKOA

Haikuwa kawaida ya wakenya kuvalia barakoa hadi mwaka huu ambapo lililonabudi lilibidi. Wakenya wakaamua kudanganyana kwamba kuvalia barakoa kwa muda mrefu mtu anaweza akaaga.je barakoa ni salama kwa afya ya binadamu? Caroline Wambere anatusaidia kujibu maswali haya yote kwa hisani ya Code for Africa kwa ushirikiano na Ruben fm.