FALSE: Photo does not show the drought situation in Embolioi, Kajiado County, in October 2022
Wakaazi wa eneo la Field Children, mkabala na Ruben Center, wameingiwa na hofu baada ya nguzo ya stima kuanguka katika eneo hilo. Tukio hilo limeibua wasiwasi kuhusu usalama wa wananchi wanaopita karibu na eneo hilo, huku wakazi wakihofia uwezekano wa madhara iwapo hatua za haraka hazitachukuliwa. Wakaazi sasa wanaitaka kampuni inayohusika kuchukua hatua za dharura kuondoa nguzo hiyo na kurejesha usalama katika eneo hilo ili kuwalinda wananchi.
Miriam Apiyo