FALSE: Photo does not show the drought situation in Embolioi, Kajiado County, in October 2022
Venue: Ruben Centre, Oasis of Hope Hall Date: 27/09/2025 Duration: 3 hours (initially planned for 2 hours) Convener: Ruben FM with funding from ERFA Attendance The forum attracted a higher number of
Today Ruben fm in patnership with Edmund Rice Foundation Australia held an open forum with elected leaders, local administration in collaboration with local organisations where community members were given a chance to participate in person
Mnamo saa tisa usiku wa tarehe 23 Septemba 2025, moto mkubwa ulizuka katika eneo la Paradise, Sinai, Makadara. Chanzo chake kilikuwa mabishano ya kifamilia ambayo yaligeuka kuwa janga. Moto huo uliathiri familia 274 ambazo zilipoteza
The Service Scorecard: Rating Health, Water, Education & Sanitation focuses on how communities in Mukuru kwa Reuben, Embakasi South can actively assess and rate the quality of essential public services using community scorecards. The approach
Wafanyabiashara katika eneo la Reli Mukuru jijini Nairobi wanalalamikia hali duni ya usafi inayoshuhudiwa sokoni, hali inayochangiwa na taka zinazotupwa ovyo pamoja na ukosefu wa vyoo vya umma. Wanasema hali hii imekuwa tishio kubwa
Mafunzo ya siku tatu yanayolenga wafanyabiashara wa chakula na akina mama kuhusu usalama wa chakula yameanza leo katika kituo cha Ruben Centre, jijini Nairobi. Kupitia programu hii, washiriki wanahimizwa kuzingatia ubora na usafi wa
This story sheds light on the hidden reality of illegal abortions in Mukuru, where many women resort to unsafe procedures despite the grave risks involved. The focus is not on the safety or health of
Fifteen years after we got the new Constitution, the big dreams it promised are still far from reality. It was meant to give us a government that listens to the people, respects our rights, and
Mradi wa Sanara , unaoungwa mkono na MasterCard Foundation, HEVA Fund, Baraza Media Lab, Ubuntu na Go Down Arts Centre umezindua leo mradi utakaowafunza vijana namna ya kutumia vipaji vyao kujiendeleza kimaisha na hata kupata
Ripoti ya Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali iliyochapishwa jana tarehe 17 Agosti imeweka Mfuko wa Maendeleo ya Maeneo Bunge (CDF) wa Embakasi kusini chini ya darubini. Kulingana na matokeo, jumla ya shilingi