FALSE: Photo does not show the drought situation in Embolioi, Kajiado County, in October 2022
Watu wenye ulemavu wana uwezekano wa kuaga dunia mara mbili hadi nne zaidi ya mtu wa kawaida au kujeruhiwa katika hali ya dharura , Zaidi ya hayo, watu wenye ulemavu katika misiba wanakabiliwa na changamoto
Kenya imejumuika na ulimwengu katika maadhimisho ya siku ya uavyaji mimba, mada ya mwaka huu ikiwa Utoaji mimba ni huduma ya afya, na afya ni haki ya binadamu.Ni siku ambayo imejiri huku kukiwa na midahalo
Haki ya afya ni haki ya kimsingi ya binadamu iliyohakikishwa katika Katiba ya Kenya. Kifungu cha 43 (1) (a) cha Katiba kinatamka kwamba kila mtu ana haki ya kupata kiwango cha juu cha afya kinachoweza
Ni sauti ya rais William Ruto akizungumza Februari 22, 2023 eneo la Korogocho, kaunti ya Nairobi wakati wa uzinduzi wa tume ya kuangazia usafi wa mito na mazingira kwa ujumla maarufu kama Nairobi Rivers Commission.
"Utafiti wa vikwazo vya kimfumo kwenye upatikanaji na matumizi ya fedha za makazi nchini Kenya", yaani kwa lugha ya kimombo Research on systemic barriers towards access and usage of housing finance in Kenya ni Ripoti
Jumla ya visa vya mimba za mapema 110,821 vilirekodiwa miongoni mwa vijana walio na umri wa kati ya miaka 10 hadi 19 katika miezi mitano ya kwanza ya mwaka huu wa 2023. Takwimu kutoka kwa
wa muda, swala la hedhi miongoni mwa wanawake limeonewa haya, na wengi kukwepa kulijadili pasi kuzingatia athari zinazotokana na ukosefu wa ufahamu. Kutokana na idadi kubwa ya wanafunzi wa kike waliokuwa wakikosa kuhudhuria masomo wanapopata
Wenyeji wa eneo la Simba Cool wadi ya Ruben wanalalamikia ongezeko katika visa vya utovu wa usalama. Kulingana na wenyeji hao, vijana wamekuwa wakiwahangaisha mara kwa mara, wasijue la kufanya anavyoeleza Mercy Alomba. …………………..ALOMBA COOL………………………….
Baadhi ya wabunge sasa wanapendekeza somo la ngono kujumuishwa kwenye mtaala haswaa katika elimu ya msingi ili kuimarisha vita dhidi ya maambukizi na kuenea kwa virusi vya ukimwi na mimba za mapema miongoni mwa vijana
Digital café offering hope to women and girls by offering digital literacy to women and girls in Mukuru Kwa Reuben Technology is the trail of the new world. Women players have been left behind in