• November 12, 2025

ERFA STORIES 2025

Score card mukuru

Mukuru, moja ya mitaa mikubwa ya mabanda jijini Nairobi, ni nyumbani kwa maelfu ya familia. Wakazi hapa hupambana kila siku sio tu na changamoto za maisha, bali pia na upungufu wa huduma za kimsingi. Ikiwemo maji safi,umeme, huduma bora , mazingira na hata kutohusishwa kenye maswala muhimu.

Wakazi wanapokosa huduma hizo, lawama mara nyingi huangukia serikali za mitaa na kaunti. Kama wanavyo nieleza..