• April 29, 2026

ERFA STORIES 2025

Security Issues in Mukuru

changamoto za usalama zinaendelea kuwa mzigo kwa wakazi wa eneo la mukuru huku swali kubwa likiwa ni hadi lini?, swala hili la ukosefu wa usalama sio geni kwani nalivalia  kubaini iwapo usalama unazingatiwa hapa mukuru na pia kuweza kufahamu ni sehemu kama gani  zinaongoza kwa ukosefu wa usalama.