• April 23, 2024

Fact Checks 2021

MAJI KUTOKA PAA ZA NYUMBA.

Utafiti unaonyesha kwamba angalau mwili wa binadamu wafaa kuwa na asilimia 50 ya maji labda kutokana na kunywa maji au kwa vyakula tunavyotumia kila siku. Yapo maji ambayo hutekwa kutoka kwa paa zetu katika misimu ya mvua haswa maeneo ya mijini katika kile kimetajwa kama kujaribu kuthibiti gharama ya maji. Lakini je, maji haya ni salama kwa matumizi ya binadamu au la? Mwanahabari wetu Moruri Denson amelivalia njuga swala hili na kwa makini sikiliza ili kupata ukweli wa mambo.

Shukrani za dhati kwa Code For Africa wakishirikiana na Ruben FM ili kukamilisha makala haya.