• April 19, 2024

Fact Checks 2021

P2 NI DAWA YA KUPANGA UZAZI

Postinor2 almaarufu kama P2 ni dawa ya dharura inayotumika na mwanamke ili kujikinga asiptwe na uja uzito. Ila kuna wale wanaotumia dawa hii kama njia ya kupanga uzazi. Swali litabaki kuwa, P2 ni dawa ya kupanga uzazi?

Shukrani za dhati kwa Code For Africa wakishirikiana na Ruben FM ili kukamilisha makala haya.