• April 23, 2024

Fact checks 2022

who owns power in Mukuru (power cartels) Investigative story

sehemu tofauti hapa Mukuru huwa na watu tofauti wanaosambaza umeme na kwa njia tofauti zikiwa zile salama na zile sio halali.swali ni je kampuni ambayo imetwikwa jukumu la kusamba umeme uliosalama hapa nchini imezembea kwa kazi yake? Na je itawezekana wakaazi wote humu nchini kupata umeme ulio salama? by robert ledira botere