Dhuluma za Kingono eneo la Mukuru kwa njenga

Wakazi wa Mukuru kwa Njenga ambao walifurushwa makwao takriban
miaka miwili iliyopita ili kupisha ujenzi wa barabara sasa wanasema
kwamba wangali wanapitia changamoto kadhaa kwenye mahema
mabovu wanakoishi. Hata hivyo, wakazi hawa wamesema kwamba visa
vya dhuluma hasa ubakaji vimepungua baada ya kituo hiki kuangazia
visa hivyo mnamo mwezi Disemba mwaka jana.

Read Previous

Makala Maalum : CS Awareness Month 2023

Read Next

Visa vya kipundupindu mtaa wa Diamond-Mukuru kwa Ruben

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Most Popular