• June 14, 2024

MAKALA YA UKEKETAJI NCHINI KENYA

Kenya imejiunga na ulimwengu katika maadhimisho ya siku ya kupinga ukeketaji. Kwa mujibu wa data ya Kenya Demographic and Health Survey iliiyotolewa mwaka jana, kiwango cha ukeketaji ni asilimia kumi na tano nchini, hii ikiwa na maana kwamba wasichana wa umri kati ya miaka 15-49 wamekeketwa….

Mwana habari wetu Mercy Alomba amefanya jasusi ili kubaini mbona jitihada za serikali katika vita dhidi ya ukeketaji havijaweza kuzaa matunda inavyotarajiwa na kuandaa makala yafuatayo.
BY MERCY ALOMBA

Read Previous

Challenges facing children heading families in acquiring education

Read Next

WORLD RADIO DAY RUBEN FM

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Most Popular