• December 26, 2024

UKEKETAJI WA WANAWAKE

Ukeketaji ama tohara ya mwanamke kwa Kiingereza female circumcision, female genital mutilationni ni tendo la kukata sehemu za nje za viungo vya uzazi kwa mwanamke.
Hapa sehemu za nje za viungo vya uzazi zinakatwa kusudi wasifurahie sana tendo la ndoa, hivyo wawe waaminifu zaidi kwa waume wao..
Kinyume na tohara ya wavulana matabibu wanaona hasara nyingi katika desturi hiyo. Ukeketaji umesababisha wasichana wengi kuaga dunia na wengine wengi kupatwa na maumivu makali wakati wa hedhi, wakati wa tendo la ndoa na wakati wa kujifungua.

Sikiliza Makala haya yaliyo anadaliwa na Carrilus Mwangome Muye, ili ujifunze mengi

Read Previous

HEWA CHAFU MUKURU

Read Next

SGBV CASES REPORTING

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Most Popular