• October 5, 2024

3 Children from Same Family Die After Mukuru Fire Wipes Out more than 20 Houses

Familia moja inaomboleza kifo cha watoto watatu baada ya kufariki kufuatia moto wa Mukuru Kwa Njenga ulioteketeza nyumba usiku wa Jumatatu, Septemba 16.

Ndugu hao wenye umri wa miaka 16, 8 na 4 waliteketea kwa moto baada ya mlipuko wa gesi katika eneo hilo kuteketeza nyumba zaidi ya 100 na kusababisha hasara ya mamilioni ya fedha.

Shirika la Msalaba Mwekundu la Kenya lilithibitisha kisa hicho cha kusikitisha cha moto jana usiku na kuripoti kuwa walikuwa wametuma timu kwenye eneo la tukio kusaidia waathiriwa.

Read Previous

Undestanding Gen Z behaviour by Denson Moruri

Read Next

Illegal cooking gas in mukuru

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Most Popular