MISSING CONTEXT: Claim that former DCI boss George Kinoti has been jailed for 4 months is misleading
Kenya imejiunga na ulimwengu katika maadhimisho ya siku ya kupinga ukeketaji. Kwa mujibu wa data ya Kenya Demographic and Health Survey iliiyotolewa mwaka jana, kiwango cha ukeketaji ni asilimia kumi na tano nchini, hii ikiwa na maana kwamba wasichana wa umri kati ya miaka 15-49 wamekeketwa….