FALSE: Photo does not show the drought situation in Embolioi, Kajiado County, in October 2022
Visa viwili vya moto vimetokea ndani ya masaa machache eneo la Ruben katika maeneo tofauti ikiwemo iliyoripotiwa jana usiku huko Kosovo na ingine iliripotiwa leo asubuhi eneo la Bantu. Waathiriwa wa maeneo hayo wanasema wamepoteza
A fierce fire broke out around 7 p.m. today in the Diamond area of Kwa Rueben, leaving several house structures completely burnt down. The incident caused panic among residents as flames spread quickly through the
Faida za kiafya za tangawizi Je,wajua kuwa tangawizi inaweza ikamaliza tatizo la kichefuchefu na kutapika? Ndio, kukula vyakula vilivyo na tangawizi,chai au biskuti kunaweza kukaondoa kichefuchefu asubuhi kwa wajawazito,kuondoa kichefuchefu cha safari au cha baada
On International Youth Day, the world paused to celebrate the determination, creativity, and leadership of young people everywhere. This year’s global theme – “Local Youth Action for the SDGs and Beyond” – carried a powerful
Je,wajua kuwa kuchomwa au kudungwa na nyuki kunaweza sababisha kifo? Iwapo uko na allergy ya sumu ya nyuki ama bee venom,ukichomwa na nyuki, kinga yako ya mwili itarudi chini, hivyo basi kukusababishia hali inavyoitwa anaphylaxis
[audio mp3="https://rubenfm.or.ke/wp-content/uploads/2025/11/REPRODUCTIVE-HEALTH-POLICY.mp3"][/audio]
Ni sauti za wakazi wakijaribu kuokoa mali yao kutokana na moto uliosababishwa na mlipuko wa gesi hapa mukuru , Mara kwa mara kumeshuhudiwa visa za kulipuka kwa mtungi wa gesi ambayo inatumika kupikia katika makaazi
Wenyeji wa Kariobangi eneo la mukuru kwa Reuben waliamkia kisa cha kutamausha pale walipopata mizoga ya mbwa. Madai ni kwamba mbwa hao huenda kuwa wanachinjwa na kuuziwa wakaaazi. Wakaazi waliongeza na kusema kuwa kiini cha
The promulgation of the Constitution of Kenya, 2010 marked a historic and transformative moment in our nation’s journey toward democracy, justice, and inclusivity. It represented the collective will of the Kenyan people who longed for