FALSE: Photo does not show the drought situation in Embolioi, Kajiado County, in October 2022
[audio mp3="https://rubenfm.or.ke/wp-content/uploads/2024/04/Dangers-of-online-dating-.mp3"][/audio]
[audio mp3="https://rubenfm.or.ke/wp-content/uploads/2024/04/baa-katika-makaazi-na-karibu-na-shule.mp3"][/audio]
Karibu msikilizaji kwenye Makala ya athari za mafuriko kwa wanafunzi hapa mukuru jina langu ni ledira botere. Mvua kubwa iliyonyesha usiku wa kuamkia Jumapili hapa JIJINI nairobi ilileta hasara nyingi huku Familia nyingi katika mitaa
[audio mp3="https://rubenfm.or.ke/wp-content/uploads/2024/03/Sheria-mpya-za-pombe-Embakasi-Kusini-Moruri-Denson.mp3"][/audio] The story Highlights on how the national and county governments should put in place strict rules on alcohol consumption ie licensing of alcohol vendors so as to decrease mortality rates in mukuru and
[audio mp3="https://rubenfm.or.ke/wp-content/uploads/2024/03/Pata-potea-ya-Umeme-Kwa-Ruben-Moruri-Denson.mp3"][/audio] The story highlights the struggles Mukuru residents have been facing for more than four years due to lack of electricity. after a meeting with different stakeholders, the story tells due process to follow
[audio mp3="https://rubenfm.or.ke/wp-content/uploads/2024/03/Masaibu-ya-uchumbiaji-kwenye-mitandao-Denson-Moruri.mp3"][/audio] the story highlights on challenges most youths face while dating using online platforms .. its meant to enlighten on how best they can watchout for themselves while meeting strangers for the first time
KARIBU MSIKILIZAJI KWENYE MAKALA YA MUUNDO AU MTAZAMO WA KIJAMII hasa wa kijinsia, JINA LANGU NI LEDIRA BOTERE. Muundo au mtazamo wa kijamii wa jinsia YAANI SOCIAL CONSTRUCT KWA LUGHA YA KIMOMBO ni nadharia katika
Wakazi wengi wanoishi mijini hukumbana na tatizo la kelele,kupitia kwa muziki wasauti ya juu unaochezwa kwenye biashara mbalimbali au kelele za watu. Kaunti ya Nairobi,ambao pia ni mji mkuu hapa Kenya ni moja kati
Black soldier fly Karibu msikilizaji kwenye makala ya kilimo biashara hapa mukuru jina langu ni ledira botere. Hermetia ilucens, yaani black soldier fly kwa lugha ya kimombo, ni nzi wa kawaida na aliyeenea sana Tangu
Katika miji inayoshuhudia ongezeko katika idadi ya watu na shughuli za viwandani na uzalishaji, hewa tunayopumua kwa wakati mwingi huchukuliwa na wengi kimzaha… lakini katika Maisha haya, kuna tishio la kimya, uchafuzi wa hewa. Mercy