• January 8, 2025
  1. Home
  2. General

Category: Latest News

General
RUBEN FM 2ND COHORT 2023 MENTEES

RUBEN FM 2ND COHORT 2023 MENTEES

We present to you the newly enrolled interns from different colleges and universities in Kenya who you will soon meet  in the community. The five, will be attached to Ruben Fm for a three months

General
HUMAN TRAFFICKING WITH A JOB PROMISE INTERVIEW

HUMAN TRAFFICKING WITH A JOB PROMISE INTERVIEW

[audio mp3="https://rubenfm.or.ke/wp-content/uploads/2023/05/RAHT-KENYA-INTERVIEW-KYALO-FULL-.mp3"][/audio] BY ROBERT LEDIRA BOTERE

General
Ajira ya Watoto Eneo la Mukuru kwa Ruben

Ajira ya Watoto Eneo la Mukuru kwa Ruben

Visa vya wazazi wengi kuwatekeleza na kuwalazimisha watoto wao kufanya kazi vimeongezeka katika eneo la Mukuru kwa Ruben. Hali ya Uchochole na umaskini inasemekana kuwa sababu kuu ya ajira ya watoto eneo hilo. [audio mp3="https://rubenfm.or.ke/wp-content/uploads/2023/05/Child-Labour-Mukuru.mp3"][/audio]

General
MAKALA YA MADHEHEBU YENYE UTATA MUKURU

MAKALA YA MADHEHEBU YENYE UTATA MUKURU

Karibu msikilizaji kwenye Makala ya madhehebu yenye utata hapa eneo la mukuru, jina langu ni ledira botere. Dini imeonekana kama kitu ambacho kinazidi kuenziwa tangu jadi na Madhehebu mengi kwa muda yanaonekana kuongezeka huku yale ya zamani yakiwa

General
World Press Freedom Day 2023

World Press Freedom Day 2023

Today being World Press Freedom Day, I would like to thank Mukuru Community members, Ruben Centre Management, our donors, local partners and other stakeholders for your continued and dedicated support towards our newsroom and journalists.

General
Visa vya kipundupindu mtaa wa Diamond-Mukuru kwa Ruben

Visa vya kipundupindu mtaa wa Diamond-Mukuru kwa Ruben

Visa vya ugonjwa wa kipindupindu vimeongezeka katika eneo la Mukuru kwa Ruben hasa msimu huu wa mvua. Visa takriban vine vimeripotiwa katika mtaa wa Diamond huku wakazi wakihimizwa kuzingatia usafi ili kujikinga dhidi ya kuambukizwa

General
Dhuluma za Kingono eneo la Mukuru kwa njenga

Dhuluma za Kingono eneo la Mukuru kwa njenga

Wakazi wa Mukuru kwa Njenga ambao walifurushwa makwao takriban miaka miwili iliyopita ili kupisha ujenzi wa barabara sasa wanasema kwamba wangali wanapitia changamoto kadhaa kwenye mahema mabovu wanakoishi. Hata hivyo, wakazi hawa wamesema kwamba visa

General
Makala Maalum : CS Awareness Month 2023

Makala Maalum : CS Awareness Month 2023

Mwezi wa Aprili kila mwaka huwa ni mwezi wa kuhamasisha na kuelimisha watu kuhusu kujifungua kwa upasuaji ama oparesheni. Tukio hili huandaliwa na The International Cesarean Delivery Network yaani ICAN. [audio mp3="https://rubenfm.or.ke/wp-content/uploads/2023/05/CS-awareness-month-mixdown.mp3"][/audio]

General
NYUMBA KUMI

NYUMBA KUMI

Kwa muda, wengi haswaa katika mitaa ya mabanda wamekuwa na changamoto ya ni wapi wanapaswa kuripoti matukio katika jamii. Hata hivyo, hili lilirahisishwa kufuatia kubuniwa kwa mpango wa nyumba kumi, ambao ni macho ya serikali

General
BAADA YA DHIKI NI FARAJA

BAADA YA DHIKI NI FARAJA

[audio mp3="https://rubenfm.or.ke/wp-content/uploads/2023/05/1683616566914_track.mp3"][/audio] ruth sharon