• December 18, 2024
  1. Home
  2. General

Category: Sports

General
Ruben FM’s 7th Annual Football Tournament 2024

Ruben FM’s 7th Annual Football Tournament 2024

The 7th annual Ruben FM Football Tournament concluded on October 6th, 2024, with a thrilling grand finale at Ruben Grounds. The two-month-long competition featured 40 teams, including 32 men's and 8 women's teams, battling it

General
RUBEN FM FIXTURES : FEMALE TEAMS

RUBEN FM FIXTURES : FEMALE TEAMS

RUBEN FM FIXTURES THIS WEEKEND: FEMALE TEAMS: SATURDAY: 21/09/2024 EMBAKASI GIRLS GROUNDS: ✓Embakasi South Ladies Vs Macmillan Queens - 1pm ✓Kamongo Ladies Vs Wilson Aviators - 3pm RUBEN GROUNDS: ✓Mukuru Transformers Vs Mukuru Talents -1pm

General
Role Of Sports In Social Accountability

Role Of Sports In Social Accountability

[audio mp3="https://rubenfm.or.ke/wp-content/uploads/2024/04/Role-of-sports-in-social-accountability-in-Mukuru-.mp3"][/audio]

Latest News
 JANUARY TRANSFERS

 JANUARY TRANSFERS

Dirisha la usajili la Januari limefunguliwa rasmi huku vilabu vingi vikipanga mipango ya mapema.   Arsenal, The Gunners,  wanahusishwa na kila aina ya washambuliaji wakubwa huku kukiwa na ukosefu wao wa mabao hivi majuzi. Wachezaji

Sports
sakaja super cup

sakaja super cup

Mshambulizi Caleb Abuga alifunga magoli matatu na kusaidia timu yake Creative Hands kufuzu kwenye awamu ya nusu fainali  sakaja super cup embakasi kusini baada ya kutoka nyuma na kuandikisha ushindi wa magoli matatu kwa moja

Latest News
Sakaja Super cup

Sakaja Super cup

Timu ya creative hands itamenyana na timu ya Nyati fc awamu ya robo fainali kwenye kipute cha sakaja super cup Embakasi kusini baada ya kutoka sare tasa na timu ya dream team hiyo jana.  Kwenye

Latest News
kipute cha Sakaja Super Cup

kipute cha Sakaja Super Cup

Mechi zinazidi kunoga kila uchao kwenye kipute cha kuwania taji la Sakaja Super Cup. Timu zinazidi kujizatiti iwezekanavyo kuhakikisha kuwa zinang’ang’ania nafasi ya kuwakilisha jimbo lake kwenye fainali hizi zitakazofanyika mwanzoni wa mwezi desemba mwaka

Sports
habari zetu za spoti

habari zetu za spoti

Hujambo msikilizaji wangu na natumai umeshinda vyema karibu kwenye habari zetu za spoti awamu ya mchana ukiletewa nami nahodha wako Amasi John aka beki nambari tatu mgongoni. Tukianza na taarifa za raga ni kwamba timu