FALSE: Photo does not show the drought situation in Embolioi, Kajiado County, in October 2022
[audio mp3="https://rubenfm.or.ke/wp-content/uploads/2024/04/Role-of-sports-in-social-accountability-in-Mukuru-.mp3"][/audio]
Dirisha la usajili la Januari limefunguliwa rasmi huku vilabu vingi vikipanga mipango ya mapema. Arsenal, The Gunners, wanahusishwa na kila aina ya washambuliaji wakubwa huku kukiwa na ukosefu wao wa mabao hivi majuzi. Wachezaji
Mshambulizi Caleb Abuga alifunga magoli matatu na kusaidia timu yake Creative Hands kufuzu kwenye awamu ya nusu fainali sakaja super cup embakasi kusini baada ya kutoka nyuma na kuandikisha ushindi wa magoli matatu kwa moja
Timu ya creative hands itamenyana na timu ya Nyati fc awamu ya robo fainali kwenye kipute cha sakaja super cup Embakasi kusini baada ya kutoka sare tasa na timu ya dream team hiyo jana. Kwenye
Mechi zinazidi kunoga kila uchao kwenye kipute cha kuwania taji la Sakaja Super Cup. Timu zinazidi kujizatiti iwezekanavyo kuhakikisha kuwa zinang’ang’ania nafasi ya kuwakilisha jimbo lake kwenye fainali hizi zitakazofanyika mwanzoni wa mwezi desemba mwaka
Hujambo msikilizaji wangu na natumai umeshinda vyema karibu kwenye habari zetu za spoti awamu ya mchana ukiletewa nami nahodha wako Amasi John aka beki nambari tatu mgongoni. Tukianza na taarifa za raga ni kwamba timu