• December 18, 2024

Fact Checks 2021

BBI

Kumekuwa na sema sema za hapa na pale kuhusu swala ibuka tena la utata la BBI. Ni maajuzi tu kinara cha chama cha ODM raila odinga na rais Uhuru Kenyatta wameongoza shughuli za ukusanyaji wa saini milioni nne ambazo zinahitajika na tume ya uchaguzi na mipaka. Je, saini hizi zilikuwa niza hiari ama niza lazima kwa wakenya??Makala haya yameletwa kwako na Andenga Odinga kwa hisani ya CODE FOR AFRICA kwa ushirikiano na RUBEN FM