• December 17, 2024

Fact Checks 2021

CIRCUMCISION

Kumekuwa na mengi ambayo yamesemwa kuhusiana na kinga ya virusi vya ukimwi, achia mbali swala la mageuzi ya tabia. Kulingana na sayansi, tohara kwa wanaume ni muhimu sana ili kupunguza maambukizi ya virusi vya ukimwi, lakini barani Afrika, tohara ni mojawapo ya tamaduni zetu. je, mwanaume ambaye ametahiriwa ana umuhimu gani katika kuzuia maambukizi ya virusi vya ukimwi? Makala haya yameletwa kwako na Andega Odinga kwa hisani ya CODE FOR AFRICA kwa ushirikiano na RUBEN FM