• January 6, 2025

Fact Checks 2021

Endometriosis.

Mengi yamesemwa kuhisiana na Endometriosi; hali inayowakumba akina dada wanapopokea hedhi zao. Kuna baadhi ya wanaodhania kwamba iwapo utajifungua mwana basi huenda ukopona hali hii. Ni dhana tu, ukweli u wapi? Mwanahabari wetu Moruri Denson amezungumza na Daktari Elija Gachuki kutoka zahanati ya Ruben Health Centre na kwa makini nakusihi usikilize ili kuthibitisha iwapo dhani hii ni ukweli au la.Makala haya yameletwa kwako na Moruri Denson kwa hisani ya CODE FOR AFRICA kwa ushirikiano na RUBEN FM