• December 16, 2024

Fact Checks 2021

MISCARRIAGE

Uavyaji mimba na kutoka kwa mimba ama miscarriage ni maswala ambayo wengi huogopa kuyazungumzia pengine kutokana na kasumba na imani potovu walizonazo kuyahusu. Mwanahabari wetu Tabitha Njambi ametuandalia makala haya ili kutusaidia kuelewa zaidi kuhusu maswala haya mawili. Je, ni kweli kuwa kuavya mimba kunasababisha mayai ya uzazi ya mwanamke kuisha mwilini?Ni makala yanayoletwa kwako kwa hisani ya Code for Africa kwa ushirikiano na Ruben FM.