• December 18, 2024

Fact Checks 2021

JE MWANAMKE HUCHANGIA KATIKA JINSIA YA MTOTO?

Kumekuwa na maswala tata kuhusiana na ni nani ambaye anayeamua jinsia ya mtoto. Haswa katika mataifa ya barani Afrika, tamaduni na sheria zake huishi kugongana na utafiti wa kisayansi. Ni jambo ambalo limesababisha kusambaratika kwa baadhi ya mahusiano lakini ukweli ni upi? Pata mengi katika ripoti yake Andenga wa Odinga