• December 17, 2024

Fact Checks 2021

JE MAUMIVU YA HEDHI HUISHA BAADA YA KUJIFUNGUA

Hedhi ni kipindi maalum katika mzunguko wa damu katika mwanamke mwenye umri wa kuzaa ambao urudi kila baada ya mwezi mmoja hivi.Wakati huu wa hedhi wengi wao hukumbana na maumivu makali na yenye uchungu.Katika harakati hizi wengi wao huamini maumivu haya huisha wakati mwanamke anapojifungua na je,huu ni ukweli…KWA HAYO NA MENGI UNGANA NAYE MERCY KAMENE AKUPASHE MENGI ZAIDI