• December 18, 2024

Fact Checks 2021

BLOOD GROUP “O” YAWEZA ZUIA UKIMWI.

Zipo dhana kwamba ukiwa na kundi la damu aina ya ‘O’ au ukipenda Blood Group O hiyo ni kinga tosha kutokana na virusi vya korona. Ni dhana ambayo imekithiri miongoni wa walio na aina hii ya damu, lakini je, tetesi hizi ni kweli au la? Kung’amua ukweli mwanahabari wetu Moruri Denson alizungumza na Daktari Elija Gachuki na sikiliza kwa makini ili kupata ukweli halisi.