• December 17, 2024

Fact Checks 2021

UTASA  KWA MWANAUME NA USHIKIKINA

Wanandoa wanapokosa watoto kulingana na mila na imani za kitamaduni,mke ndiye hulaumiwa. Vipi kwa waume? Ni kweli kuwa mwanaume anaweza akakumbwa na tatizo la utasa? Ni mambo yepi yanayopelekea mwanaume kuwa tasa? Mwanahabari wetu Tabitha Njambi ametuandalia Makala yafuatayo kwa hisani ya Code for Africa kwa ushirikiano na Ruben FM.