• December 18, 2024

Fact Checks 2021

Ulemavu na Ushirikina

Ulemavu unaposhuhudiwa katika jamii,watu huwa na mawazo mbalimbali kuhusu chanzo cha ulemavuhuo.Ni wazi kwamba ulemavu hausababishwi na ushirikina.Akina mama wajawazito wanasharuiwakutembelea idara za afya ili kufahamu hali ya mtoto na pia kuzidi kufwata maagizo ya daktari.Makala haya yameletwa kwako na ABRAHAM OMODING kwa hisani ya CODE FOR AFRICA kwa ushirikiano na RUBEN FM.