• November 30, 2024

Fact Checks 2021

WALKING AND OBESITY IN CHILDREN

Kati ya hatua muhimu katika ukuaji wa motto ni hatua ya kutembea. Kuna imani kuwa mtotomnono ama mkubwa kimwili huchelewa kutembea akilinganishwa na mtoto mwembamba kwa madai kuwa mwili ukiwa mkubwa basi mifupa pia ni mizito. Lakini je,kuna ukweli wowote katika Imani hizi? Mwanahabari wetu Tabitha Njambi ametuandalia Makala yafuatayo kwa hisani ya Code for Africa kwa ushirikiano na Ruben FM.