• December 18, 2024

Fact Checks 2021

MBOGA NA SARATANI

Zipo tetesi kwamba utumiaji wa maji machafu kutoka maeneo la viwandani katika kunyunyuzia mboga ili zinawiri kunaweza kumsababishia mtu saratani. Ni tetesi tu lakini ili kung’amua ukweli wa mambo. Mwanahabari wetu Moruri Denson amefanya mazungumza ya kina na Dkt. Elijah Gachuki kuhusiana na swala hilo na kwa makini haswa iwapo wewe ni mzoefu kwa kutumia mboga hizo sikiliza ili ujue usalama wake.

Makala haya yameletwa kwako na Denson Moruri kwa hisani ya CODE FOR AFRICA kwa ushirikiano na RUBEN FM.