• December 30, 2024

Fact Checks 2021

Is P2 A Drug

kumekuwa na tetesi kwamba iwapo vijana wavulana wanapotumia tembe za aina ya postinor 2 au almaarufu p2 wanaweza kuwa walevi,Je ni kweli?
Ni bayana kuwa tembe hizi za aina ya p2 haziwezi tumika kama dawa za kulevya na muuguzi bwire anawasihi vijana wavulana ambao wanatumia tembe hizi
kuwacha maanake sio za kutumiwa nao. Makala haya yameletwa kwako na   Ledira Botere  kwa hisani ya CODE FOR AFRICA kwa ushirikiano na RUBEN FM.