• April 26, 2024
  1. Home
  2. Blogs for February, 2020

Month: February 2020

Harambee Starlets kuwania ubingwa wa dimba la Turkish Women Cup.

Mabingwa wa soka ya wanawake ya Cecafa, Harambee Starlets wamepata mwaliko kuwania ubingwa wa dimba la Turkish Women Cup mnamo Machi 2-11, 2020. Dimba hilo litaleta pamoja Uturuki, Kenya, Hungary, Venezuela, Hong Kong, Romania, Uzbekistan,

 WORLD RADIO DAY 2020 (UMOJA WETU NGUVU YETU.)

Tangu jadi kabla ya wazinduzi wa teknoalojia hawajavumbua simu ilikuwepo radio. Kabla na baada ya kupata uhuru wakenya walitegemea sana radio kwa matangazo ili kuwakumbusha na kuwafahamisha kilichokuwa kikijiri. Kwa kifupi nitakuambia kwamba radio ni

NO MORE INTERNATIONAL EVENTS FOR KENYANS UNTIL FURTHER NOTICE.

The government of kenya through the ministry of Sports has suspended all international sporting events home and abroad until further notice. Speaking via a press release sent to media houses late Tuesday evening, principal secretary