• December 20, 2024

somo la ngono kujumuishwa kwenye mtaala

Baadhi ya wabunge sasa wanapendekeza somo la ngono kujumuishwa kwenye mtaala haswaa katika elimu ya msingi ili kuimarisha vita dhidi ya maambukizi na kuenea kwa virusi vya ukimwi na mimba za mapema miongoni mwa vijana wa umri mdogo.

Ni pendekezo lililowasilishwa bungeni na mbunge wa kaunti ya Kirinyaga Njeri Maina.

Mercy Alomba na maelezo zaidi.

………………….ALOMBA SOMO………………

Read Previous

Digital café offering hope to women and girls by offering digital literacy to women and girls in Mukuru Kwa Reuben.

Read Next

ongezeko katika visa vya utovu wa usalama

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Most Popular