• April 23, 2024

Gender roles and social construct

KARIBU MSIKILIZAJI KWENYE MAKALA YA MUUNDO AU MTAZAMO WA KIJAMII hasa wa kijinsia, JINA LANGU NI LEDIRA BOTERE.

Muundo au mtazamo wa kijamii wa jinsia YAANI SOCIAL CONSTRUCT KWA LUGHA YA KIMOMBO ni nadharia katika ubinadamu na sayansi ya kijamii kuhusu udhihirisho wa asili ya kitamaduni, au mtazamo na usemi wa kijinsia katika muktadha wa mwingiliano wa kijamii.

 

muundo wa kijamii wa nadharia ya kijinsia unabainisha kuwa majukumu ya kijinsia ni “hadhi” iliyoafikiwa katika mazingira ya kijamii, ambayo hutenganisha watu kwa uwazi na hivyo kuhamasisha tabia za kijamii.

 

Katika eneo la mukuru wakaazi wengi wanazidi kunielezea iwapo kuna kazi au hali ambazo zinahusishwa na mwanamme au mwananmke na hasa chanzo cha kugawanya majukumu haya ni kipi ikizingatiwa Ubunifu wa kijamii ni nadharia inaelezea uhusiano kati ya usawa wa ukweli na uwezo wa hisia za mwanadamu na utambuzi…….

Aidha baadhi ya wakaazi hawa wanazidi kuniweka wazi kuwa hakuna kazi au hali spesheli ya mwanamme na mwanamke kwani majukumu yote yanahusisha binadamu kwa ujumla……………..

Bi ROSELYNE ASENA ambaye anajihusisha na maswala haya ya utazamo wa kijamii hasa ukizingatia jinsia anazidi kunieleza iwapo ni kweli kwa baadhi ya mtazamo au tabia hizi za kijam

………..

Ni bayana kuwa bado jamii inazidi kugawanywa na Muundo au mtazamo wa kijamii wa jinsia, swali ni je sulihisho ni nini?

Makala haya yameletwa kwako na ruben fm, kwa hisani ya Edmund rice foundation Australia (ERFA) mimi ni mwandalizi wako ledira botere

Read Previous

Sheria kuhusu kelele

Read Next

MASAIBU YA UCHUMBIAJI MITANDAONI

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Most Popular