FALSE: Photo does not show the drought situation in Embolioi, Kajiado County, in October 2022
Wakazi wa Mukuru kwa Ruben wameelezea wasiwasi wao kuhusu uendeshaji wa magari kwa uzembe, wakisema hali hiyo inahatarisha maisha ya watembea kwa miguu na watumiaji wengine wa barabara. Wakazi hao wanazitaka mamlaka husika kuchukua hatua za haraka kudhibiti uendeshaji holela wa magari, kuhakikisha sheria za trafiki zinafuatwa na kuimarisha usalama barabarani ili kuzuia ajali zinazoweza kusababisha majeraha au vifo.
Na Miriam Apiyo