• October 27, 2026

Wakaazi wa Viwandani Watoa Maoni Kuhusu Marekebisho ya Sheria za Uchaguzi

Mjadala mkali umeendelea kushika kasi nchini kufuatia marekebisho yaliyopendekezwa katika mswada kuhusu upeperushaji wa matokeo ya uchaguzi. Rais ametetea marekebisho hayo akisema yanalenga kuimarisha utulivu na uwazi katika mchakato wa uchaguzi, huku viongozi wa upinzani wakiyapinga kwa hofu kuwa yanaweza kudhoofisha uaminifu wa mchakato huo na kuminya demokrasia. Mjadala huo umefika hadi mashinani, ambapo wakaazi wa eneo la Viwandani wametoa maoni yao, wakisisitiza kuwa mabadiliko yoyote katika sheria za uchaguzi yanapaswa kulinda haki ya mpiga kura, kuhakikisha uwazi na kudumisha amani nchini.

Na Wachira Murithi

Read Previous

Wakazi wa Mukuru kwa Ruben Watoa Wito wa Usalama Barabarani

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Most Popular