FALSE: Photo does not show the drought situation in Embolioi, Kajiado County, in October 2022
Insecurity in Kosovo Area Mukuru Kwa Ruben, where one mana has been left to fight for his life after being stabbed with unknown gang at the night of saturday 13th May 2023 [audio mp3="https://rubenfm.or.ke/wp-content/uploads/2023/05/Wizi-Kosovo-by-Denson-Moruri.mp3"][/audio]
Masuala ya afya ya kiakili yasipoangaziwa huwaathiri watoto pale shuleni kwa njia kadhaa huku wakati mwingine wakilazimika kukatisha masomo. Serikali kwa ushirikiano na wizara ya elimu imepiga hatua kukabiliana na masuala haya. [audio mp3="https://rubenfm.or.ke/wp-content/uploads/2023/05/Madhara-ya-Afya-ya-Kiakili-kwa-Mwanafunzi-11.5.2023.mp3"][/audio]
We present to you the newly enrolled interns from different colleges and universities in Kenya who you will soon meet in the community. The five, will be attached to Ruben Fm for a three months
[audio mp3="https://rubenfm.or.ke/wp-content/uploads/2023/05/RAHT-KENYA-INTERVIEW-KYALO-FULL-.mp3"][/audio] BY ROBERT LEDIRA BOTERE
Visa vya wazazi wengi kuwatekeleza na kuwalazimisha watoto wao kufanya kazi vimeongezeka katika eneo la Mukuru kwa Ruben. Hali ya Uchochole na umaskini inasemekana kuwa sababu kuu ya ajira ya watoto eneo hilo. [audio mp3="https://rubenfm.or.ke/wp-content/uploads/2023/05/Child-Labour-Mukuru.mp3"][/audio]
Karibu msikilizaji kwenye Makala ya madhehebu yenye utata hapa eneo la mukuru, jina langu ni ledira botere. Dini imeonekana kama kitu ambacho kinazidi kuenziwa tangu jadi na Madhehebu mengi kwa muda yanaonekana kuongezeka huku yale ya zamani yakiwa
Today being World Press Freedom Day, I would like to thank Mukuru Community members, Ruben Centre Management, our donors, local partners and other stakeholders for your continued and dedicated support towards our newsroom and journalists.
Visa vya ugonjwa wa kipindupindu vimeongezeka katika eneo la Mukuru kwa Ruben hasa msimu huu wa mvua. Visa takriban vine vimeripotiwa katika mtaa wa Diamond huku wakazi wakihimizwa kuzingatia usafi ili kujikinga dhidi ya kuambukizwa
Wakazi wa Mukuru kwa Njenga ambao walifurushwa makwao takriban miaka miwili iliyopita ili kupisha ujenzi wa barabara sasa wanasema kwamba wangali wanapitia changamoto kadhaa kwenye mahema mabovu wanakoishi. Hata hivyo, wakazi hawa wamesema kwamba visa
Mwezi wa Aprili kila mwaka huwa ni mwezi wa kuhamasisha na kuelimisha watu kuhusu kujifungua kwa upasuaji ama oparesheni. Tukio hili huandaliwa na The International Cesarean Delivery Network yaani ICAN. [audio mp3="https://rubenfm.or.ke/wp-content/uploads/2023/05/CS-awareness-month-mixdown.mp3"][/audio]