FALSE: Photo does not show the drought situation in Embolioi, Kajiado County, in October 2022
Serikali za kaunti zimetakiwa kuhakikisha mgao wa fedha kwa minajili ya kukuza afya katika jamii zinatumika ipasavyo. Seneta mteule Veronica Maina ametoa changamoto kwa magavana kuhakikisha hapashuhudiwi ubathirifu wa pesa katika serikali zao, katika jitihada
Devolution in Kenya has brought in key aspects to the less fortunes to the residents from the extreme interior. It mostly focuses on the developments and accessibility of social services amongst the residents. We take
Yes we are on the onset of the predicted weather by the meteorological department of Kenya about the EL Nino. How much has the county government of Nairobi and their residents, especially living in areas
Watu wenye ulemavu wana uwezekano wa kuaga dunia mara mbili hadi nne zaidi ya mtu wa kawaida au kujeruhiwa katika hali ya dharura , Zaidi ya hayo, watu wenye ulemavu katika misiba wanakabiliwa na changamoto
Kenya imejumuika na ulimwengu katika maadhimisho ya siku ya uavyaji mimba, mada ya mwaka huu ikiwa Utoaji mimba ni huduma ya afya, na afya ni haki ya binadamu.Ni siku ambayo imejiri huku kukiwa na midahalo
Msukosuko na mabadiliko ya hali ya hewa ni jambo la kimataifa na linahitaji jamii kutafuta utunzi wa mazingira kwa njia tofauti ili kuitimisha malengo hayo. Njia hizi zitawezesha jamii kuchukulia wajibu na hatua mwafaka kwani ulimwengu unajengwa kupitia
Haki ya afya ni haki ya kimsingi ya binadamu iliyohakikishwa katika Katiba ya Kenya. Kifungu cha 43 (1) (a) cha Katiba kinatamka kwamba kila mtu ana haki ya kupata kiwango cha juu cha afya kinachoweza
Ni sauti ya rais William Ruto akizungumza Februari 22, 2023 eneo la Korogocho, kaunti ya Nairobi wakati wa uzinduzi wa tume ya kuangazia usafi wa mito na mazingira kwa ujumla maarufu kama Nairobi Rivers Commission.
"Utafiti wa vikwazo vya kimfumo kwenye upatikanaji na matumizi ya fedha za makazi nchini Kenya", yaani kwa lugha ya kimombo Research on systemic barriers towards access and usage of housing finance in Kenya ni Ripoti
Jumla ya visa vya mimba za mapema 110,821 vilirekodiwa miongoni mwa vijana walio na umri wa kati ya miaka 10 hadi 19 katika miezi mitano ya kwanza ya mwaka huu wa 2023. Takwimu kutoka kwa