• April 14, 2024

mimba za mapema

Jumla ya visa vya mimba za mapema 110,821 vilirekodiwa miongoni mwa vijana walio na umri wa kati ya miaka 10 hadi 19 katika miezi mitano ya kwanza ya mwaka huu wa 2023.

Takwimu kutoka kwa Mifumo ya Taarifa za Afya nchini zinaonyesha jumla ya 6,110 walikuwa miongoni mwa vijana wenye umri wa kati ya miaka 10 hadi 14 huku wengine 104,711 wakiwa na umri wa kati ya miaka 15 na 19,  hii ikiwa ni takriban nusu ya idadi iliyorekodiwa kipindi sawia mwaka jana.

Mercy Alomba na maelezo zaidi.,

………………..ALOMBA HIV………………

Read Previous

UNYANYAPAA WA HEDHI

Read Next

Research on systemic barriers towards access and usage of housing finance in Kenya

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Most Popular