• September 11, 2024

UNYANYAPAA WA HEDHI

wa muda, swala la hedhi miongoni mwa wanawake limeonewa haya, na wengi kukwepa kulijadili pasi kuzingatia athari zinazotokana na ukosefu wa ufahamu.

Kutokana na idadi kubwa ya wanafunzi wa kike waliokuwa wakikosa kuhudhuria masomo wanapopata hedhi na wengine kupachikwa mimba za mapema zisizotarajiwa katika jitihada za kujitafutia pesa za kununua taulo za hedhi, serikali ilianzisha mpango wa kuhakikisha kila mtoto wa kike anapewa taulo hizo shuleni. Mercy Alomba anaeleza iwapo mpango huo umefaulu au la.

………………..ALOMBA HEDHI……………………..

Read Previous

ongezeko katika visa vya utovu wa usalama

Read Next

mimba za mapema

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Most Popular