FALSE: Photo does not show the drought situation in Embolioi, Kajiado County, in October 2022
wa muda, swala la hedhi miongoni mwa wanawake limeonewa haya, na wengi kukwepa kulijadili pasi kuzingatia athari zinazotokana na ukosefu wa ufahamu. Kutokana na idadi kubwa ya wanafunzi wa kike waliokuwa wakikosa kuhudhuria masomo wanapopata
Wenyeji wa eneo la Simba Cool wadi ya Ruben wanalalamikia ongezeko katika visa vya utovu wa usalama. Kulingana na wenyeji hao, vijana wamekuwa wakiwahangaisha mara kwa mara, wasijue la kufanya anavyoeleza Mercy Alomba. …………………..ALOMBA COOL………………………….
Baadhi ya wabunge sasa wanapendekeza somo la ngono kujumuishwa kwenye mtaala haswaa katika elimu ya msingi ili kuimarisha vita dhidi ya maambukizi na kuenea kwa virusi vya ukimwi na mimba za mapema miongoni mwa vijana
Digital café offering hope to women and girls by offering digital literacy to women and girls in Mukuru Kwa Reuben Technology is the trail of the new world. Women players have been left behind in
Were rights of Women violated during Mukuru kwa Njenga Demolitions? The pains and pangs of the demolitions in Mukuru kwa Njenga in 2022 has left a far-reaching effect which is the women living with the
[audio mp3="https://rubenfm.or.ke/wp-content/uploads/2023/06/PREPARATIONS-FOR-THE-DAY-OF-THE-AFRICAN-CHILD-2023.mp3"][/audio] The International Day of the African Child has been celebrated on June 16 every year since 1991, when it was first initiated by the OAU Organisation of African Unity. It honors those who participated in the Soweto Uprising in 1976 on that
Nelson Asiago, anayejulikana kwa upendo kama "Mandela," alikuwa mtu wa kipekee ambaye alijitolea miongo miwili ya maisha yake kuitumikia Mukuru kupitia kazi yake katika Kituo cha Ruben. Hakuwa tu mfanyakazi mwenza bali mwanga wa tumaini,
Shirika la Habitat for Humanity ni shirika lisilo la kiserikali ambalo husaidia familia zinazohitaji makazi ya bei nafuu kwa kujenga na kukarabati nyumba kwa ushirikiano na watu wanaojitolea na wafadhili kote ulimwenguni. tarehe16 mei,
Insecurity in Kosovo Area Mukuru Kwa Ruben, where one mana has been left to fight for his life after being stabbed with unknown gang at the night of saturday 13th May 2023 [audio mp3="https://rubenfm.or.ke/wp-content/uploads/2023/05/Wizi-Kosovo-by-Denson-Moruri.mp3"][/audio]
Masuala ya afya ya kiakili yasipoangaziwa huwaathiri watoto pale shuleni kwa njia kadhaa huku wakati mwingine wakilazimika kukatisha masomo. Serikali kwa ushirikiano na wizara ya elimu imepiga hatua kukabiliana na masuala haya. [audio mp3="https://rubenfm.or.ke/wp-content/uploads/2023/05/Madhara-ya-Afya-ya-Kiakili-kwa-Mwanafunzi-11.5.2023.mp3"][/audio]